» » Waziri Mwakyembe Atuma Salamu Za Rambirambi Kifo Cha Mzee Kanyasu aliyechora nembo ya Taifa



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kuwa Serikali itaenzi michango yote ya wasanii wakongwe hapa nchini.

Ameyasema hayo kufuatia kifo cha mzee aliyebuni nembo ya taifa, Mzee Francis Kanyasu maarufu kwa jina la ‘Ngosha’ aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwaajili ya kupatiwa matibabu.

“Tutaendelea kuwa karibu na familia ya marehemu Mzee Francis Kanyasu, kwani katuachia alama kubwa sana na mchango wake katika Taifa utakumbukwa milele”, amesema Dkt. Mwakyembe.

Hata hivyo, katika kushiriki msiba huo, Mwakyembe atawakilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Godfrey Mngereza ambapo atakuwa akiiwakilisha Serikali.

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...