» » UEFA-Mfumo mpya wa Upigaji wa Mikwaju ya Penalti

Mfumo wa sasa ukiwa unatoa changamoto kwa wapigaji
Image captionMfumo wa sasa ukiwa unatoa changamoto kwa wapigaji
Shirikiksho la kandanda barani Ulaya UEFA Lipo katika mikakati ya kufanya majaribio mfumo mpya wa upigaji wa mikwaju ya Penalti mitano mitano ili kuondoa faida ya timu inayoanza kupiga Penalti hizo.
ChelseaHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionmfumo mpya wa mikwaju ya penalti
Mfumo huo mpya, ambao unatambuliwa kama ABBA, utatumika kwa timu ya kwanza itayotambulika kama timu A kupiga penalti ya kwanza na kisha timu B kupiga penalti ya pili na ya tatu na kisha timu B kupiga penalti ya nne na ikifuatia zamu ya timu A kupiga Penalti ya 5 na ya 6 kwa kupokezana hivyo kila moja kukamilisha Penati 5.
Mfumo huo umependekezwa na IFAB ambacho ni chombo pekee chenye mamlaka ya kubadili sheria za soka.



Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS


tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles