» » Trump: Nitamteua mkurugenzi mpya wa FBI haraka iwezekanavyo

Trump aliwaambia waandishi wa habari kuwa kuna uwezekano kuwa atampata mkurugenzi mpya ifikapo Ijumaa

Haki miliki ya pichaAFP
Image captionTrump aliwaambia waandishi wa habari kuwa kuna uwezekano kuwa atampata mkurugenzi mpya ifikapo Ijumaa
Rais wa Mareknia Donad Trump anasema kuwa atatangaza mkurugenzi mpya wa FBI kuchukua mahala pa mkurugenzi aliyefutwa James Comey wiki ijayo.
Aliwaambia waandishi wa habari kuwa kuna uwezekano kuwa atampata mkurugenzi mpya ifikapo Ijumaa kabla ya kufanya ziara yake ya kwanza ya kigeni.
Wakili Alice Fisher alikuwa mtu wa kwanza kutahiniwa na idara ya sheria.
Kaimu mkurungeiz wa FBI Andrew McCabe, jaji ya mahakama ya mjini New York Michael Garcia na Seneta wa Republican John Cornyn pia walikutana na mku wa sheria Jeff Sessions.
Watu 11 wanaripotiwa kutajwa kwa wadhifa huo ambao utahitaji kudhinishwa na bunge la Senate.
Kutoka kushoto kaimu mkurugenzi wa FBI Andrew McCabe, Seneta John Cornyn, Jaji wa New York Michael Garcia na wakili Alice FisherHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES/REUTERS/AFP
Image captionKutoka kushoto kaimu mkurugenzi wa FBI Andrew McCabe, Seneta John Cornyn, Jaji wa New York Michael Garcia na wakili Alice Fisher
Rais Trump amekosolewa vikali kwa kumfuta bwana Comey, ambaye amekuwa akichunguza tuhuma za Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani.
Aliwaambia waandishi wa habari wanaosafiri naye kwenye ndege ya rais ya Air Force One, kuwa anataka kufanya hima kumtaja mkurugenzi mpya wa FBI.
"Nafikiri suala hili litafanyika kwa haraka kwa sababu wote wanajulikana sana, wametahiniwa katima maisha yao, Trump alisema.



Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS

tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...