» » Rais mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron aapishwa

Rais mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron aapishwa

Haki miliki ya pichaAFP
Image captionRais mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron aapishwa
Rais mpya wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ameapishwa juma moja baada ya kupata ushindi mkubwa katika marudio ya uchaguzi mkuu wa Urais nchini humo.
Alimshinda pakubwa kiongozi wa chama cha kulia Bi Marine Le Pen.
Macron na mkewe BrigitteHaki miliki ya pichaAFP
Image captionMacron na mkewe Brigitte
Bwana Macron, ambaye aliendesha siasa zake akiunga mkono umoja wa Jumuia ya mataifa ya Bara Ulaya, ameahidi kufufua uchumi wa Ufaransa na kufanyia mabadiliko siasa za kale za Ufaransa.
Ili kuafikia mabadiliko zaidi, chama chake kipya cha The Republic on the Move, kinafaa kushinda viti vingi vya ubunge katika uchaguzi wa mwezi ujao.
Macron (kushoto) na HollandeHaki miliki ya pichaAFP
Image captionMacron (kushoto) na Hollande
Mwaandishi wa BBC anasema kuwa, iwapo Bwana Macron, atashindwa katika wadhifa huu wake mpya kama Rais wa Ufaransa, atakuwa tu sawa na mtangulizi wake wa chama cha Kisosiolosti Francois Hollande, ambaye aliahidi mabadiliko, lakini anaondoka kama Rais asiye na umaarufu katika hostoria ya Ufaransa.


Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS


tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...