» » Wasanii Wakutana Coco Beach......wapaza Sauti Na Kuiomba Serikali Ihakikishe Roma Anapatikana

Wasanii Wakutana Coco Beach......wapaza Sauti Na Kuiomba Serikali Ihakikishe Roma Anapatikana

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini kwa pamoja wameungana na  kuviomba vyombo vya usalama nchini kufanya juhudi za kumtafuta msanii mwenzao ROMA Mkatoliki na wenzake wanaodaiwa kutekwa na kupelekwa kusikojulina.

Wasanii hao, leo wamekutana  COCO Beach na kulaani kitendo cha Roma kutekwa, huku wakiitaka serikali iwasaidie kumtafuta na kumpata akiwa salama.

==> Hii ni video ya mazungumzo yao na vyombo vya habari leo

 

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...