» » Wake wa polisi waandamana mjini Paris

Wake wa polisi waandamana mjini Paris

Wake wa maafisa wa polisi waandamana Paris UfaransaHaki miliki ya pichaAFP/GETTY
Image captionWake wa maafisa wa polisi waandamana Paris Ufaransa
Zaidi ya wake 100 na washirika wao wamefanya maandaamno wakipinga mashambulio dhidi ya maafisa wa polisi kufuatia kuuawa kwa afisa mmoja huko Elysee.
Wake hao waliokuwa na ghadhabu waliandaman katikati ya mji siku mbili baada ya xavier Jugele alipigwa risasi mara mbili katika kichwa na muhalifu karim Cehurfi.
Wakati huohuo vyombo vya habari nchini Ufaransa vinasema kuwa mtu alikuwa akijihami na kisu amekamatwa katika eneo la gare du Nord.
Polisi hawajasema iwapo kisa hicho ni cha kigaidi.
Ufaransa inashiriki katika uchaguzi mkuu siku ya Jumapili.
Kwengineko maafisa wa polisi walikabiliana na waandamanaji baada ya maandamano ya muungona wa wafanyikazi mashariki mwa Paris, mabo walitaka kura ya awamu ya kwanza.
Maafisa wa polisi walirushiwa vitu nao wakalipza kuptia gesi za kutoa machozi.

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS

tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles