» » UN yaikosoa Marekani kuondoa mfuko wa fedha wa kusaidia masuala ya afya ya uzazi duniani

UN yaikosoa Marekani kuondoa mfuko wa fedha wa kusaidia masuala ya afya ya uzazi duniani


UNHaki miliki ya pichaAFP
Image captionKatibu mkuu wa umoja wa mataifa,Antonio Guterres
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa amekosoa uamuzi wa Marekani wa kuondoa fungu la pesa kutoka kwenye mfuko wa umoja wa mataifa unaoshughulikia idadi ya watu uliokuwa ukisaidia masuala ya afya ya uzazi na uzazi wa mpango duniani.
Antonio Guterres amesema kupoteza pesa hizo takriban dola milioni thelathini na mbili mwaka huu pekee, kunaweza kuleta madhara makubwa kwa afya za wanawake na watoto wanaohitaji msaada.
Wizara ya mambo ya nje imesema inasitisha uchangiaji kwenye mfuko huo kwa sababu shirika hio linaunga mkono programu ya china ya utoaji mimba.
Taasisi hiyo ya umoja wa mataifa imesema haiungi mkono wala kusaidia vitendo vya utoaji mimba, pia haijavunja sheria yeyote ya Marekani.
Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en


tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles