» » Ninakosa maisha yangu ya zamani: Trump


Ninakosa maisha yangu ya zamani:


Trump

Trump alisema aliyapenda maisha yake ya zamani kwa sababu ni mengi yalikuwa yakifanyika,Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionTrump alisema aliyapenda maisha yake ya zamani kwa sababu ni mengi yalikuwa yakifanyika
Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa akizungumza kuhusu maisha ya awali kabla ya kuwa rais na kueleza jinsi wajibu wake huo mpya katika Ikulu ya White House ni ngumu.
Trump alisema aliyapenda maisha yake ya zamani kwa sababu ni mengi yalikuwa yakifanyika, alipozungumza na shirika la habari la Reuters akiwa White House.
"Hii ni kazi nyingi zaidi kuliko ya maisha yangu ya awali, alisema. "Nilifikiri itakuwa rahisi."
Matamshi yake Trump ya kuwa rais yamejadiliwa katika mitandao ya kijamii, wengi wakielezea mshangao wao.
"Ninakosa maisha yangu ya awali," alisema Trump.

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS

tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles