» » Anthony Joshua amwangusha Wladimir Klitschko

Bondia wa Uingereza Anthony Joshua amemwangusha Wladimir Klitschko wa Ukraine na kutawazwa bingwa wa dunia kitengo cha uzani mzito.

Haki miliki ya pichaPA
Image captionBondia wa Uingereza Anthony Joshua amemwangusha Wladimir Klitschko wa Ukraine na kutawazwa bingwa wa dunia kitengo cha uzani mzito.
Bondia wa Uingereza Anthony Joshua amemwangusha Wladimir Klitschko wa Ukraine na kutawazwa bingwa wa dunia kitengo cha uzani mzito.
Mashabiki wa ndondi walishuhudia pigano la kukata na shoka ambapo, Joshua alimwangusha Wladimir katika raundi ya tano, na kwa mara ya kwanza katika taaluma yake, Joshua akaangushwa katika raundi ya 6
Joshua alinusa ushindi, baada ya kupata upenyu na kurusha ngumi ya kushtukiza ya mtunguo, iliyompa nafasi ya kumwangusha wladamir kwa msururu wa ngumi.
Pigano hilo lililoshuhudiwa na zaidi ya watu 90,000 katika uwanja wa Wembley mjini London, lilisimamishwa katika raundi ya 11 baada ya Joshua kumzidi nguvu Wladimir na kumuangusha.
Uwanja wa Wembley ulijawa kelele na shangwe wakati mwamuzi alisema Wladamir amezidiwa kabisa.
Joshua, ambaye ana umri wa miaka 27, ameshinda mechi zote 18 za awali kwa pigo la ushindi ama KO.


Tuma picha/ habari what-sap 0769436440



BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS



tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles