» » Mkenya aliyeshinda medali ya dhahabu, Rio 2016 abainika kutumia dawa za kusisimua misuli

Mkenya aliyeshinda medali ya dhahabu, Rio 2016 abainika kutumia dawa za kusisimua misuli


KenyaHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionJemima Sumgong
Mwanariadha wa mbio za masafa marefu kutoka nchini Kenya, Jemima Sumgong aliyeshinda medali ya dhahabu katika mashindano ya mbio za marathoni olimpiki mjini Rio mwaka jana pamoja na mashindano ya mbio za london marathoni ,amebainika kuwa ni miongoni mwa watu wanaotumia dawa za kusisimua misuli .
Shirikisho la riadha duniani,IAAF limesema kuwa majibu waliopata kutoka katika uchunguzi wa kina katika damu ya mwaariadha huyo umeonyesha kuwa anatumia dawa za kusisimua misuli ambazo zinamsaidia kukimbia kwa nguvu na kwa muda mrefu.
Mpaka sasa hakuna tamko lolote lililotolewa kutoka kwa mamlaka husika juu ya adhabu itakayotolewa baada ya majibu ya matokeo ya vipimo vya mwanariadha huyo.

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en


tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...