» » Huyu ndie Mwandishi maarufu Kuki Gallmann apigwa risasi na kujeruhiwa Kenya

Huyu ndie Mwandishi maarufu Kuki Gallmann apigwa risasi na kujeruhiwa Kenya

Kuki GallmannHaki miliki ya pichaAFP
Image captionHoteli ya kifahari inayomilikiwa na Bi Gallmann ilichomwa moto mwezi uliopita
Watu waliojihami na bunduki wamempiga risasi na kumjeruhi mwanamazingira na mwandishi mzoefu mzaliwa wa Italia, Kuki Gallmann.
Amepigwa risasi ya tumbo akiwa kwenye shamba lake kaunti ya Laikipia.
Mwezi uliopita makahawa wake wa kifahari uliteketezwa na watu wanaoshukiwa kuwa wafugaji.
Bi Gallmann, amekuwa mwenyeji wa Kenya tangu miaka ya sabini, na anafahamika zaidi kutokana na kitabu chake 'I Dreamed of Africa'.
Filamu ya kitabu hicho pia ilitolewa, mhusika mkuu, akiwa mwigizaji maarufu wa Marekani , Kim Basinger.
Burned Mukutan lodgeHaki miliki ya pichaTHE STAR, KENYA
Image captionMwezi uliopita makahawa wa Bi Gallmann uliteketezwa na wafugaji
map
Image captionLaikipia

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS

tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles