» » Raia wa Marekani akamatwa Korea Kaskazini

Raia wa Marekani akamatwa Korea Kaskazini

Msukosuko ni mkubwa kufuatia maonyesho makubwa ya zana za kivitaHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionMsukosuko ni mkubwa kufuatia maonyesho makubwa ya zana za kivita
Shirika la habari la Korea Kusini linasema kwamba raia wa tatu wa Marekani ametiwa mbaroni nchini Korea Kaskazini.
Bila kutaja vyanzo vyake, shirika hilo linasema mwanamume huyo mwenye asili ya kimarekani na kikorea alikamatwa akiwa kwenye uwanja wa ndege akijaribu kuondoka Pyongyang.
Inaarifiwa kwamba mwanamume huyo ni mhadhiri wa zamani wa chuo kikuu cha Yanbian Uchina, na alikuwa korrea kaskazini kwa kipindi cha mwezi mmoja kwa shughuli za uhisani.
Serikali za korea kusini na kaskazini hazijadhibitisha madai hayo.
Raia wengine wawili wa Marekani wanazuiliwa nchini humo.
N korea parade april 2017Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionKorea Kaskazini ilifanya maonyesho makubwa ya za za kivita

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS


tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles