» » Chaguo la waziri mkuu laathiri uhusiano wa DRC na Ubelgiji

Chaguo la waziri mkuu laathiri uhusiano wa DRC na Ubelgiji


Rais Joseph Kabila wa DR Congo amekata ushirikiano wa kijeshi na Ubelgiji
Image captionRais Joseph Kabila wa DR Congo amekata ushirikiano wa kijeshi na Ubelgiji
Taifa la Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo limesitisha ushirikiano wa kijeshi na Ubelgiji baada ya Brussels kukosoa chaguo la waziri mkuu la rais Joseph Kabila.
Ubelgiji ilisema kuwa uteuzi wa Bruno Tshibala ulienda kinyume na makubaliano ya ugawanaji wa mamlaka ambapo Upinzani ndio uliofaa kumchagua kiongozi huyo kutoka kwa wanachama wake.
Bwana Kabila alimteua bwana Tshabala wiki iliopita baada ya upinzani kushindwa kukubaliana kuhusu mtu wa kumchagua kuchukua wadhfa huo.
Serikali mpya inalenga kuandaa uchaguzi mwishoni mwa mwaka huu kufuatia hatua ya rais Kabila kukataa kung'atuka mamlakani baada ya muda wake wa kutawala kukamilika mwezi Disemba iliopita.

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS

tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles