» » Watoto 20 wafa moto Guatemala katika kituo cha malezi

Watoto 20 wafa moto Guatemala katika kituo cha malezi


Guatemala
Image captionNdugu na jamaa wa watoto wa walioathirika na moto ,wamekusanyika nje ya kituo cha Guatemala
Moto uliotokea katika kituo cha kulelea watoto kinachosimamiwa na serikali, Guatemala umewaua takribani watoto kumi na tisa huku wengine 25 wamejeruhiwa.Watoto takriban 60 wametoroka wakisema kuwa wamekuwa wakinyanyasika.
Bado haijafahamika ni nini chanzo cha moto huo lakini taarifa za awali zinaonyesha kuna uwezekano moto huo umewashwa kwa makusudi na wakazi wa nyumba hiyo, kama anavyoeleza afisa wa kikosi cha kuzima moto Jorge Mario Cruz .
''wakazi kadahaa wamesababisha moto huu katika maeneo mawili, hivyo kikosi cha kuzima moto wakatumwa kupambana na moto huo na kusaidia kutoa huduma ya kwanza,tumefanikiwa kuuzima kwa kutumia magaloni ya maji zaidi ya 3000, kuna wakazi takriban 25 waliojeruhiwa''
Guatemala
Image captionNdugu na jamaa wa watoto wa walioathirika na moto ,wamekusanyika nje ya kituo cha Guatemala
Wabunge wa nchi hiyo wametaka uchunguzi wa haraka kufanyika kuhusu tukio hilo katika kituo cha Guatemala .Huku rais wa Guatemala,Jimmy Morales ametoa siku tatu za maombolezo.
Siku za nyuma,makazi hayo yamewahi kupata lawama za kuwa kituo cha manyanyaso. Makazi hayo yamekuwa yakitunza watoto wapatao takribani mia tano ambao wamekuwa waathirika wa vurugu (ingawa eneo hilo lilitengenezwa kuwatunza watoto mia nne pekee)
moto
Image captionEneo ambalo moto ulitokea
Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en

tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...