Inasemekana vijana wengi hawaoi kwa sababu ya kuwaahidi wadada wengi kuwa atawaoa nap wanajenga imani kubwa kwake na kumuonyesha mapenzi Mubashara kila mmoja kulingana na uelewa wake mwisho akitaka kuoa anabaki njia panda amuoe Nani na amuache Nani mwisho Ana amuwa kusubiri Kwanza, na wale wadada kutokana na ahadi zake kwao nao wanasubiri mwisho akichoka kusubiri anaona hawana mpango wa kwenda kwingine anaoa mbali mwisho wadada Wana Baki midomo wazi wengine machungu na kuumia .
Ushauri >> Kijana Kama huna mpango na huyo Dada mwambie ukweli ili aruhusu wengine
Dada >> ukiona huyo jamaa Ana ahadi isiyo julikana nilini atakuoa jiongeze
Utafiti na Gasto Alex wa Apps ya *4sn news* kwa Android download Sasa
/ habari what-sap 0769436440
BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI



No comments:
Post a Comment