» » Uber yatumia ''progamu ya kisiri'' kuhepa wakaguzi

Uber yatumia ''progamu ya kisiri'' kuhepa wakaguzi

Haki miliki ya pichaEPAImage captionUber imesema inatumia programu hiyo kuwanyima huduma watu wanaoshuku huenda wakabaini mienendo yao

Kampuni ya Magari ya Uber, ya Marekani, imekiri kutumia programu ya kisiri ya kompyuta, kuisaidi kutambua na kuwazuia wakaguzi kupata taarifa,inayotoa ushahidi wowote kwamba inavunja sheria inayoongoza huduma ya usafiri wa texi.

Programu hiyo imeundwa kwa njia ya kipekee, kuwakinga madereva wa kampuni hiyo, dhidi ya watumizi ambao wanaweza kuwawekea mtego kwa lengo la kuwakamata.

Gazeti la The New York Times imefichua kuwa kampuni ya Uber imetumia programu hiyo ya kisiri kuendesha shughuli zake katika miji kama vile Boston na Paris, Hali kadhalika katika mataifa ya Australia, Italia,na China.

Uber yasitisha huduma zake Abu DhabiWezi wazima safari ya bajaji ya solaMume mzinifu ashtaki Uber

Kampuni ya Uber inakabiliwa na tuhuma za ubaguzi kwa misingi ya kijinsia , ushindani mbaya, unaotokana na mtindo wake wa usimamizi na vile vile kuwapunja madereva.

Mshirikishe mwenzako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...