» » China yaongeza bajeti yake ya jeshi

China yaongeza bajeti yake ya jeshi

Haki miliki ya pichaAPImage captionChina yaongeza bajeti yake ya kijeshi siku chache baada ya Marekani kutangaza hatua kama hiyo

China imesema itaongeza bajeti ya matumizi ya jeshi lake, kwa karibu asilimia saba mwaka huu.

Tangazo hilo limetolewa siku kadhaa baada ya Rais wa Marekani Donald Trump, kutoa muongozo wa mpango wake wa kuongeza bajeti ya matumizi ya jeshi la Marekani, kwa karibu asilimia kumi.

Trump kuongeza bajeti ya jeshi kwa dola bilioni 54

Katika miaka ya hivi karibuni, China imekuwa katika harakati ya kuboresha vikosi vyake vya uslama kadri uchumi wake unavyoendelea kukuwa lakini bajeti yake ya ulinzi bado ni ndogo ikilinganishwa na ile ya Marekani.

Mshirikishe mwenzako 

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles