» » Tanzania: Habari ya uongo ya Trump yawaponza wafanyakazi TBc

Tanzania: Habari ya uongo ya Trump yawaponza wafanyakazi TBc

Image captionTaarifa hizo zilitoa wito kwa viongozi wengine wa Afrika kufuata mfano wa Magufuli kwa uongozi bora

Shirika la utangazaji nchini Tanzania TBC, limewasimamisha kazi wafanyakazi tisa baada ya taarifa za uongo kuwa Rais wa Marekani Donald Trump, alimpongeza rais John Magufuli, kupeperuswa hewani.

Taarifa hizo zilizopeperushwa wiki iliyopita zilisema kuwa Trump alitoa wito kwa viongozi wengine wa Afrika kufuata mfano wa Magufuli kwa uongozi bora na kupambana na haswa na ufisadi.

"Makosa hayo hayangefanyika ikiwa taratibu za uhariri zingefuatwa," Mkurugenzi mkuu wa TBC Ayub Chacha alismea.

Tanzania yashtakiwa na baraza la habari EACSerikali ya Tanzania yafunga vituo viwili vya radioTanzania: Gazeti la Mseto nje kwa miaka 3

Makala hiyo bandia ilichapishwa kwenye wavuti wa "Fox Channel" ambayo hutoa taarifa zake kutoka kwa mitandao mingine.

Taarifa hiyo ya uongo inasema kuwa Trump alimtaja magufulia kama "shujaa wa Afrika", wakati akiweka sahihi sheria ya kuwazuia waafrika kutoka nchi ambazo marais hawafanyi lolote pamoja na wale wamekatalia madarakani.

Raia wa Tanzania hawatazuiwa kuingia Marakani, taarifa hizo zilisema.

Chanzo Bibic.

Mshirikishe mwenzako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles