» » Siku ya Wanaume huadhimishwa lini?

Siku ya Wanaume huadhimishwa lini?

Haki miliki ya pichaTHINKSTOCK

Mwezi Machi kila mwaka, wanaume katika mitandao ya kijamii hulalamika wanawake wanapokuwa wanaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake kila tarehe 8 Machi.

Huwa wanalalamika kwamba ni wanawake pekee wanaoonekana kuangaziwa kimataifa na kwamba hakuna anayewajali wanaume.

Katika hili, huwa wamekosea pahali kwani ipo Siku ya Kimataifa ya Wanaume, na imekuwepo kwa miaka mingi.

Siku yenyewe ni 19 Novemba.

Polisi wavalia viatu vya kike UgandaWanawake kugoma kumpinga Trump MarekaniIfahamu nchi inayoongozwa na wanawake

Mchekeshaji Richard Herring mwaka uliopita, alikerwa sana na wanaume waliokuwa wakilalamika kwamba hakuna siku ya wanaume, na alifika kwenye Twitter kuwafahamisha.

Siku ya Kimataifa ya Wanaume imekuwa ikiadhimishwa tangu mwaka 1999 na hutumiwa kuhamasisha watu na kuangazia masuala yanayowatatiza wanaume, yakiwemo matatizo ya afya ya kiakili na changamoto katika maisha ya familia.

Wanawake wengi wa umri wa chini ya miaka 45 hufariki kwa kujiua kuliko njia nyingine zote, suala linalotilia mkazo hitaji la kuangazia hali ya kiakili ya wanaume.

Mada zinazohusiana

Haki za Kibinadamu

Mshirikishe mwenzako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles