» » SOMO : MAHUSIANO LEO TUJIFUNZE NENO BUSU LIMETOKA WAPI

*❤MAHUSIANO❤*
❤❤❤❤❤
2Korintho 13:12

Salimianeni kwa *busu😘 takatifu.*

1: 😘 Ni nini maana ya Neno *BUSU???*Neno Busu (kiss)  ni neno la kiyunani liitwalo, "Philema" lililotokana na kitenzi "phileo" moja kati ya aina za upendo zinazoelezewa katika Biblia ambalo pia linalandana na neno la kiyunani "philos" lenye maana ya Rafiki kwetu. Hiyo basi neno hili "Philema" au busu kwa kiyunani lilimaanisha zaidi salimiana kwa mdomo, mikono na hata kwa kurusha, busu miguu ya mtu mwingine. Sasa kwa muktadha wa 2 Korintho 13:12 limeongezewa na neno takatifu likileta msisitizo (emphasis) ya jambo gani Paul analohitaji wasikilizaji wake wafahamu.

2: 😘Busu takatifu ni lipi?
Kwa majibu huo kwa kulingana na wachambuzi wa maswala ya kale inaelezewa kuwa Paulo katika vitabu vyake vyote humalizia na kitu kinachitwa Salutation ambayo ktk hilo anawataka wakorintho wabusiane "Busu Takatifu"  ambalo wachambuzi hao wanasema halikuwa lile la kuweka mdomo kwa mdomo kama baadhi wazanivyo bali lilikuwa lenye agape ndani yake ambalo walikuwa wakisalimiana jinsia zinazofanana tu ( me kwa me na ke kwa ke) na Utaratibu ulikuwa kila mmoja anachukua mkono wake wa kuume na kuuweka kwenye bega la kushoto mwenzake na kubadilisha kwa kuchukua mkono wa kushoto kuweka kwenye bega la kulia.

3: 😘Busu hilo wanasalimiwa watu maalumu Au WATU WOTE??
Wote lakini kwa kufuatisha jinsia zao kuepuka zinaa na vurugu zingine.

4: 😘Busu lisilo takatifu ni lipi??
Fuatilia maelezo ya awali nilivyotofautisha na Busu Takatifu

*🙏🏼KARIBUNI TUWEMO🙏🏼*

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...