» » Pacha waliotenganishwa Kenya watembezwa nje ya hospitali

Pacha waliotenganishwa Kenya watembezwa nje ya hospitali


Blessing na Favour wakiwa na mama yaoHaki miliki ya pichaKENYATTA NATIONAL HOSPITAL
Pacha waliozaliwa wakiwa wameshikana sehemu ya chini ya mgongo lakini wakatenganishwa na madaktari hospitali kuu ya taifa ya Kenyatta, Nairobi Novemba mwaka jana, walifanya matembezi yao ya kwanza jana nje ya hospitali hiyo.
Watoto hao Blessing na Favor walitembezwa katika kituo cha wanyamapori cha Animal Orphanage, Nairobi kuwaona wanyama Siku ya Wapendanao.
Ilikuwa mara yao ya kwanza kutoka hospitalini tangu walipolazwa 5 Septemba, 2014.
Pacha hao walifanyiwa upasuaji wa kuwatenganisha, ambao ulitajwa na wengi kuwa ufanisi mkubwa wa madaktari Kenyatta, tarehe 2 Novemba mwaka jana.
Afisa mkuu mtendaji wa hospitali hiyo Lily Koros Tare alisema acha hao wamepiga hatua sana tangu wafanyiwe upasuaji.
Blessing na FavourHaki miliki ya pichaKENYATTA NATIONAL HOSPITAL
Image captionWakiondoka hospitalini
Blessing na FavourHaki miliki ya pichaKENYATTA NATIONAL HOSPITAL
Image captionWakijionea simba
Blessing na FavourHaki miliki ya pichaKENYATTA NATIONAL HOSPITAL
Pacha waliotenganishwaHaki miliki ya pichaKENYATTA NATIONAL HOSPITAL

Mada zinazohusiana

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles