» » MWANAHABARI GEORGE BINAGI NA MISS PENDO KISAKA KUUAGA UKAPELA HII LEO.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na 4SN NEWS Kwa Nambari za Simu 0769436440 Au Email 4snnews@gmail.com

Mwanahabari wa 102.5 Lake Fm Mwanza na mwanablogu wa mtandao wa Binagi Media Group, George Binagi (kulia) pamoja na Miss Pendo Kisaka (kushoto), wanatarajiwa kufunga pingu za maisha masaa machache yajao.

Wapendanao hao wanafunga ndoa hii leo March 26,2017 majira ya saa nane mchana katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza chini ya Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo, Dkt.Daniel Moses Kulola, na baadae kufuatiwa na hafla itakayofanyika Ukumbi wa Sun City Hotel uliopo Ghana Green View Jijini Mwanza kuanzia majira ya saa moja jioni.

Zifuatazo ni picha za hafla ya kumuaga bibi harusi mtarajiwa (Sendoff) iliyofanyika ijumaa iliyopita March 17,2017 Jijini Dar es salaam.
Sifa na Utukufu ni kwa Mwenyezi Mungu, Amina!
S
Tuma picha/ habari what-sap 0769436440



BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en





tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...