» » Mwalimu amsaidia mwanafunzi Figo zake

Mwalimu amsaidia mwanafunzi Figo zake

Haki miliki ya pichaSPLImage captionMadaktari wakitoa figo

Mwalimu wa chekechea nchini Marekani, ameelezea furaha aliyokuwa nayo kwa kuweza kumsaidia mwanafunzi wa miaka mitano kwa kumpa mtoto huyo moja ya figo zake.

Beth Battista ameiambia BBC kwamba hakusita kutoa figo yake baada tu ya kusikia jitihada za Lyla za kutafuta figo kwa muda mrefu.

Mwalimu huyo, ambae pia ni mama wa watoto wawili, amesema alisikia juu ya hali ya Lyla baada ya mamake kuweka taarifa za mwanawe katika mtandao wa Facebook.

Mwaka mmoja uliopita, Lyla alipatikana na tatizo la figo ambapo alitakiwa kusafishwa damu kwa saa kumi na mbili kwa siku.

Mshirikishe mwenzako 

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...