» » Muimbaji, Joni Sledge, afariki

Muimbaji, Joni Sledge, afariki


Joni kiimba katika bendi ya Sister Sledge ambayo inajulikana kwa kibao 'We Are Family'Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionJoni kiimba katika bendi ya Sister Sledge ambayo inajulikana kwa kibao 'We Are Family'
Muimbaji, Joni Sledge, ambaye alisaidia pakubwa kuboresha magoma ya densi miaka ya sabini, amefariki nyumbani kwake huko Phoenix, katika jimbo la Arizona nchini Marekani.
Amefariki akiwa na umri wa miaka 60.
Kilichosababisha kifo chake bado hakijabainika.
Wakiwa pamoja na dada zake watatu, Joni Sledge aliunda bendi mwaka 1971-- lakini hadi mwaka 1979 ndipo walipopata ufanisi mkubwa walipochomoa kibao "We are Family" -- wimbo ambao unaonekana na wengi kama wa kuleta umoja na kuwapa nguvu kina dada.
Sister Sledge wakiigiza jukwaani
Image captionSister Sledge wakiigiza jukwaani
Aside from the Grammy-nominated We Are Family, the hit which sold more than a million copies after it was released in 1978, the group also was known for He's the Greatest Dancer, Lost in the Music and a cover of the Motown classic My Guy.
They sang We Are Family for Pope Francis in 2015.
The Sledge sisters came from a family of performers, including an actress mother, a Broadway star for a father and an opera singer for a grandmother.
They performed together from a young age, leading Sledge to note "I can't remember not singing" during an interview with the BBC in 2015.
However, the four have not stayed together throughout their careers. Instead, the band became a trio after sister Kathy left the band in 1989
Tuma picha/ habari what-sap 0769436440






BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en





tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...