» » Mashabiki wavuruga mechi kati ya Senegal na Ivory Coast

Mashabiki wavuruga mechi kati ya Senegal na Ivory Coast


Mashabiki wavuruga mechi kati ya Senegal na Ivory CoastHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMashabiki wavuruga mechi kati ya Senegal na Ivory Coast
Mechi ya kirafiki kati ya Ivory Coast na Senegal ilisimamishwa wakati mashabiki waliingia uwanjani mjini Paris.
Timu hizo kutoka Afrika zilikuwa sare ya bao moja dakika ya 88, wakati mashabiki wachache waliingia uwanjani huku mmoja akionekana akimrukia mchezaji wa Senegal Lamine Gassama.
Wachezaji walitoka kutoka uwanajania na refa Tony Chapron akaamua kusimamisha mechi hiyo.
Mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane alikuwa ameipa Senegal bao la kwanza mnamo kipindi cha pili, lakini Bi Gohi Cyriac akasawazisha dakika tatu baaadaye.
Mwandishi wa habari wa shirika la L'Equipe Herve ambaye alikuwa uwanjani wakati huo aliambia BBC kuwa kisa hicho kingekuw kibaya.
"Sitaweza kusema kuwa watu hao walikuwa na ghasia, lakini ni kama walikuwa wanajaribu kuwafikia wachezaji," mwandishi huyo aliongeza.
Hii ndiyo mara ya pili ndani ya miaka mitano mechi kati ya chi hizo imesimamishwa kutokana na vurugu za mashabiki.
Mashabiki wavuruga mechi kati ya Senegal na Ivory CoastHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMashabiki wavuruga mechi kati ya Senegal na Ivory Coast
Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en


tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles