» » Maporomoko ya taka yaua zaidi ya watu 30 Ethiopia

Maporomoko ya taka yaua zaidi ya watu 30 Ethiopia

Haki miliki ya pichaAPImage captionMaporomoko ya taka yaua watu 15 Ethiopia

Zaidi ya watu 30 wameuawa na maporomoko ya taka kwenye eneo moja kubwa la kumwaga taka nje ya mji mkuu wa Ethiopia Addis Ababa.

Inaripotiwa kuwa watu kadha bado hawajulikani waliko tangu maporomoko hayo yatokee siku ya Jumamosi usiku.

Inaaminiwa kuwa watu takriban 150 walikuwa eneo hilo.

Bwawa la Ethiopia lasababisha upungufu wa maji KenyaMbona magari ni ghali mno nchini Ethiopia?

Mabanda kadha ya watu kwa sasa yamefukiwa chini ya tani kadha za taka.

Eneo hilo limekuwa likitumiwa kutupa taka kutoka kote mjini Addis Ababa kwa zaidi ya miongo mitano.

Haki miliki ya pichaAPImage captionMaporomoko ya taka yaua watu 15 Ethiopia

Watu wengi wamekuwa wakisaka eneo hilo kujitafutia riziki huku wengine wakiwa ni wenyeji .

Serikali nayo imekuwa ikijenga kiwanda kwa kwanza kabisa barani Afrika, kwa lengo ya kuibadili taka hiyo kuwa nishati karibu na eneo hilo.

Wana mpango ya kuchoma taka kutoka mjni Addis Ababa na kuugeuza kuwa umeme

Image captionMaporomoko ya taka yaua watu 15 Ethiopia

Mshirikishe mwenzako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...