» » Maharamia waiachia huru meli pwani ya Somalia

Maharamia waiachia huru meli pwani ya Somalia


Haki miliki ya pichaMOHAMED DEEQImage captionMaharamia waiachia huru Meli

Maharamia wa Kisomali wameiachia huru meli ya mafuta waliyokuwa wameikamata kwenye pemba ya Afrika siku ya Jumatatu bila ya kulipwa fedha.

Maafisa nchini Somalia wamesema wafanyakazi saba wa meli hiyo raia wa Sri Lanka waliachiwa pia bila ya kudhuriwa.

Marekani: Shambulizi liliwaua washirika SomaliaMabaharia 26 waliotekwa Somalia waokolewa

Meli hiyo ilikamatwa katika eneo la pwani ya Puntland siku ya Jumatatu, ikiwa ni mara ya kwanza katika eneo hilo katika kipindi cha miaka mitano.

Maharamia hao waliiachia meli hiyo baada ya mazungumzo yao na askari wanamaji wa Puntland.

Mshirikishe mwenzako 

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles