» » Kompyuta yenye siri ya kikosi cha kumlinda rais wa Marekani yaibwa

Kompyuta yenye siri ya kikosi cha kumlinda rais wa Marekani yaibwa

Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionKompyuta yenye siri ya kikosi cha kumlinda rais wa Marekani yaibwa

Kompyuta ya kikosi cha kumlinda rais wa Marekani inayoripotiwa kuwa na michoro ya jumba la Trump Tower, na taarifa zingine za siri imeibwa kutoka kwa gari la afisa mmoja mjini New York.

Hata hivyo kikosi hicho cha kumlinda rais kinasema kuwa kompyuta hiyo huikuwa na taarifa za siri.

Lakini wanasema kuwa ina taarifa kuhusu uchunguzi wa aliyekuwa mgomea wa Democratic Hillary Clinton kutumia barua pepe ya kibinafsi.

Kwa sasa polisi wanachunguza kamera za siri kuweza kumtambua mshukiwa.

Laptop iliyo na skrini tatuWezi waiba laptop ya skrini tatu MarekaniPeru yamtaka Trump kumsalimisha rais

Shirika la ABC lilisema kwa gari la ajenti lililengwa katika eneo la Bath Beach kwenye mtaa wa Brooklyn.

CBS nayo ilisema kuwa kampyuta hiyo ilikuwa na taarifa muhimu kumhusu Papa Francis

Taarifa za polisi zililiambia gazeti la The York Daily News, kuwa taarifa zilizo kwenye kompyuta hiyo ni za siri kubwa.

Kompyuta hiyo inaripotiwa kuibwa kutoka kwa mkoba uliokuwa ndani ya gari. Mkoba huo hata hivyo umepatikana lakini kompyuta yenyewe bado inatafutwa.

Mshirikishe mwenzako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...