» » Kiti chenye mfano wa uume chazua mjadala Mexico

Kiti chenye mfano wa uume chazua mjadala Mexico

Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpyaSambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako

Haki miliki ya pichaYOUTUBEImage captionKiti kilicho na mfano wa uume chazua mjadala Mexico

Wakati aina mpya ya kiti kilionekana ghafla ndani ya treni kwenye mji mku nchini Mexico, Mexico City, kiti hicho kilitajwa kuwa cha kuchukiza na cha aibu.

Kiti hicho kina mfano wa uume na kifua kilichotengenezwa kuashiria udhalilishaji wa kingono wanaopitia abiria wanawake.

Kiti hicho si cha kudumu , lakini ni sehemu ya kampeni iliyoziduliwa na wanawaka wa Umoja wa Mataifa, yenye lengo la kuangazia udhalilishaji wa kingono kweney usafiri wa umma

Unyanyasaji kingono wa wabunge wanawake umezidiAbiria wa kike kutengwa na wanaume feri ya Mombasa

Kwenye video iliyochapishwa na kutazamwa mara 700,000 muda siku kumi zilizopita, bbadhi ya watu waliipongeza huku wengine wakisema kuwa haikuwatendea vyema wanaume.

Sekta ya usafiri wa umma kwa njia ya treni nchini Mexico imekuwa na historia mbaya kutokana na tatizo la usalama wa wanawake.

Haki miliki ya pichaYOUTUBEImage captionKiti kilicho na mfano wa uume chazua mjadala Mexico

Mwaka 2014 kampuni moja ya Uingereza ilindesha utafiti kuhusu udhalilishaji kwenye sekta ya usafiti wa umma kote duniani.

Kwa udhalilishaji wa kingono kwa njia ya maneno na kwa kimwili, sekta ya usafiri wa umma nchini Mexico ilichukua nafasi ya kwanza.

Trump aomba radhi kwa kuwatusi wanawakeSasa ni hatia kuonyesha makalio hadharani Australia

Kwa miaka mingi mji wa Mexico City, umejaribu njia tofauti za kuwawezesha wanawake kuhisi kuwa salama.

Mshirikishe mwenzako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles