» » Kampuni ya ndege yailipa dola milioni 1.3 kwa kabila la Caiapó

Brazil: Kampuni ya ndege yailipa dola milioni 1.3 kwa kabila la Caiapó

Image captionMoja wa viongozi wa kijadi wa kabila la Caiapó

Moja ya mashirika makubwa ya ndege nchini Brazil liitwalo Gol, limekubali kulipa dola milioni 1.2 kwa kabila moja ikiwa ni kulipia gharama za kuharibu eneo lao wakati ndege ya kampuni hiyo ilipoanguka katika eneo la kabila hilo zaidi ya miaka 10 iliyopita.

Ndege hiyo ya kampuni binafsi ilianguka Kaskazini mwa Brazil mwaka 2006 na kutua katika eneo la kabila la Caiapó.

Image captionTimu ya uokoaji ilikumbana na changamoto kubwa kuokoa watu katika msitu huu mkubwa

Viongozi wa kabila hilo wanasema kuwa walilazimika kutengeneza makazi mapya sehemu za pembeni baada ya ndege hiyo kusababisha uharibifu mbaya wa mazingira, huku zaidi ya watu 150 wakifariki katika tukio hilo.

Mshirikishe mwenzako 

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...