» » JE? WALIJUWA BIFU KUBWA LA WASANII WA BONGO MOVIE LILILOPO NA KILICHO SABABISHA MSANII SALADINI NA RWEGA DA ONE KUINGIA KWENYE MTAFARUKU MKUBWA!!!!?

Kwa mara ya kwanza 4SN NEWS tumekutana na msanii kutoka jiji lenye miamba mikubwa Tanzania Rock City Mwanza, anaye fahamika kwa jina la RWEGA DA ONE kwa jina la usanii, wakati jina lake Halisi ni RWEGASIRA BACHU. Baada ya kukutana naye tulizungumza vitu vingi, kwanza kabisa ilikuwa ni kuhusu  KIKUNDI CHA TUDA SANAA pamoja na mtafaruku ulipo kati ya msanii huyu RWEGA DA ONE na msanii wa kitambo kidogo nahisi wote mnamkumbuka BI. SARA RASHIDI alimaarufu kama SALADINI alitisha sana miaka ya nyuma akishiriki FILM mbalimbali kama vile CHOZI LA URITHI, MTEMI, RADI COBRA, Pamoja na SALADINI yenyewe iliyompa umaarufu mkubwa NDANI na NJE ya NCHI... @RWEGA DA ONE Naye alifunguka kama ifuatavyo...
Nikweli mimi nafahamiana na SALADINI, ni msanii mwenzangu na yeye ni chachu pia ya mimi kufanya SANAA, nikiwa na maana kwamba yeye ndiye mtu pia aliyenishawishi mimi kuwa muigizaji. Halafu pia tofauti SANAA SALADINI ni kama mama yangu, kwasababu amenilea kwa muda mrefu kidogo....
Tumefanya kazi nyingi za SANAA na zile za tofauti na SANAA pia, nimejifunza mengi kutoka kwake akiwa kama mlezi wangu na mtu aliyenifundisha SANAA ya MAIGIZO pamoja na kunishauri NI IMBE MMUZIKI pia, kiujumla kanifundisha mambo mengi yenye faida kwangu, nampenda na ninamuheshimu pia, kwasababu kupitia yeye nimekutana na wasanii mbalimbali wakubwa ambao sikutegemea kukutana nao, SALADINI ni mcheshi na mkarimu sana tofauti na mimi amewakarimu watu wengi, hususani wale waliokuwa wakitoka mikoani na kumfuata Mwanza kwa lengo la kuigiza huku wakiwa hawana sehemu au mahala popote pakufikia.
   Lakini tofauti na ahaya yote niliyo ya zungumza mimi na SALADINI tulitokea kutoelekuelewana kidogo, nakumbuka tukiwa katika maandalizi ya kufanya project mpya kulitokea mzozo mazoezini, ulio sababishwa na baadhi ya wasanii. Katika harakati zakujaribu kutafuta suluhu, kati ya msanii aliye gombana na SALADINI pamoja na SALADINI mwenyewe hapo ndipo kutokuelewna kwangu na yeye kulianzia.

Na kuhusiana na kikundi cha TUNDA SANAA siwezi kusema chochote kwa sababu mimi sio msemaji, ila ninavyojua mimi ni kwamba TUNDA SANAA ipo na haiwezi kufa.

RWEGA DA ONE aliishia hapo japo bado nipo kwenye harakati za kumpata MSANII SALADINI kwaajili ya kupata UKWELI ZAIDI JUU YA HILI, endelea kutufuatilia katika APPLICATION YA 4SN NEWS inayopatikana Android au play store pia unaweza kutembelea blog yetu ya www.4snnews.blogspot.com au tuwasiliane kupitia
Watsapp 0769436440

Unaweza ku LAKE, KU COMMENT NA KU SHARE mara nyingi uwezavyo habari hii.

Nilijitahidi sana kujaribu kutafuta suluhu baina yangu mimi na yeye  kwasababu alihisi namuunga mkono yule msanii waliyekuwa wame tofautiana kauli.
Kitendo kilicho mfanya SALADINI kuchukia na kuahirisha project aliyokuwa anataka kuifanya, sikuwa na jinsi kwasababu alivunja uongozi uliokuwepo kwa muda namimi nikiwemo ndani yake. Kwa mimi sikuchukulia kama ni ugomvi mkubwa japo hicho kitendo kilimfanya SALADINI akapunguza ukaribu kwangu.

Tukikutana huwa tunasalimiana na tunazungumza pia, kuhusu Bifu nazisikia kwa watu kwa mimi naweza kusema kwamba hatuna BIFU lolote.

      

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...