Fahamu kuhusu Madawa ya Kulevya yanavyofanya kazi mwilini.

TANZANIA imekuwa nchi ambayo vijana wake wengi wameathiriwa na dawa za kulevya, takribani vijana 700,000 wanakadiriwa kuwa waathirika wa tatizo hili. Hata hivyo elimu juu ya matumizi ya madawa ya kulevya haitolewi kwa kiasi cha kutosha hali inayopelekea vijana wanaochipukia kuwepo katika hatari ya kujumuika katika janga hili. Ni vema kujua maana, aina zake, athari zake na namna ya kujiepusha na tabia hiyo mbaya.
Zipo aina kadhaa za madawa ya kulevya zinazotumiwa sehemu mbalimbali na watu tofauti kulingana na tamadini na thamani ya madawa husika. Katika Tanzania, wahusika hutumia zaidi Bangi (Marijuana), Heroin na Cocaine. Wapo watu wachache hutumia Valium. Katika makala hii tutazungumzia hasa Heroin ambayo imeathiri maelfu ya watanzania kutokana na unafuu wa kupatikana kwake.

Heroin ni nini?
Heroin ni dawa inayotengenezwa kutokana na dawa ingine aina ya morphine inayovunwa kutoka mbegu za mimea inayopatikana nchi za Asia. Heroin huonekana kama unga mweupe, kijivu au kama nta nyeusi kwa namna ilivyoandaliwa. Dawa hizi zina uwezo wa kuondoa maumivu makali kwa kuzuia ubongo kupokea taarifa kutoka sehemu ya mwili inayouma.
Heroin pia iliwahi kutumika kutibu wanajeshi wa marekani waliokuwa na magonjwa ya msongo wa mawazo (Post Traumatic Stress Disorder), kutokana na kumbukumbu za matukio ya kutisha walioshuhudua vitani – Vietnam. Magonjwa haya huambatana na ndoto za kutisha na hata kuyaona upya matukio yale yaliyopita (visual hallucinations).

Ni kweli kuwa heroine humfanya MTU kusikia raha!
Ni kweli tupu. Heroine hustua seli za ubongo kuzalisha homoni aina ya Dopamine ambayo humfanya mtu kusikia raha. Homoni hii hutolewa kwa kiasi cha unit 1200- 1800 baada ya kutumia heroine kulinganisha na unit 150 – 200 tu zitolewazo wakati mtu anaposhiriki ngono. Ndio kusema Heroin inaleta raha karibu mara tisa ya ile itokanayo na ngono, tena kwa muda wa takribani dakika 30- 45.

Uvumilivu /Tolerance
Matumizi ya Heroin hufanya akili kupumbaa na hivyo kuhitaji kiasi kikubwa zaidi kwa mara nyingine. Seli za ubongo huongeza vipokezi vya homoni ya Dopamine ili kupokea homoni nyingi inayozalishwa, Hali hiyo hupelekea ubongo kuhitaji Heroin zaidi ili kujikidhi. Kwa hiyo mtumiaji huongeza kiasi kila wakati.

Arosto /withdraw symptoms
Wakati Heroin inapoisha mwilini, mwili hutamani zaidi. Hapo ndipo hutokea “arosto”, ambapo mtumiaji hutaabika kwa kukosa raha isiyo kifani. Maumivu makali ya tumbo, viungo na kichwa, baridi kali, mapigo ya moyo kwenda kasi, mwili kutetemeka, kujisikia vibaya sana, kuchoka, kushindwa kula na dalili nyingine mbaya humpata. Hali hiyo humlazimu kwa haraka sana kutafuta namna ya kuipata Heroin iwe kwa njia halali au haramu.

Utegemezi/Dependency
Matumizi zaidi ya Heroin huzaa arosto sugu na kupelekea utegemezi kwa dawa hizo. Mtumiaji hushindwa kufanya shughuri yoyote bila kutumia heroin. Na hali akitumia basi hawezi kufanya shughuri zake au huzifanya kwa udhaifu.

Madhara yake nini?
Madhara ya matumizi ya heroin ni makubwa na hatari, haya yafutayo ni kwa uchache wake.
Madhara ya muda mfupi.
Kichefuchefu, kutapika, kuwashwa, kuchoka sana, kukosa nguvu na akili kushindwa kufanya kazi kwa ufasaha.

Madhara ya muda mrefu.
Mishipa ya damu huweza kusinyaa na kushindwa kusafirisha damu kwa kiwango chake, makovu na upele wa ngozi sababu ya kujidunga, mirija ya moyo huweza kuharibiwa, magonjwa ya mapafu, udhaifu wa misuli, kukosa usingizi, kinga ya mwili hupungua na kurahisisha magonjwa ya maambukizi, kupoteza uwezo wa kushiriki tendo la ndoa, kupoteza uwezo wa kuzaa (ugumba na utasa), mfadhaiko, UKIMWI, HOMA YA INI, kupoteza fahamu na kufa

Baada ya kugunduwa acha kabisa usiguse wala usionje.
ukiona mtu anayo towa tarifa kwa vyombo vinavyo husika.
BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment