» » Afrika yajipatia anwani yake ya mtandao

Afrika yajipatia anwani yake ya mtandao

Haki miliki ya pichaAFPImage captionBara la Afrika sasa lina anwani yake ya mtandao

Bara la Afrika sasa lina anwani yake ya mtandao .africa sawa na ule wa .com kufuatia uzinduzi wake rasmi na muungano wa Afrika AU.

Mwenyekiti wa tume ya umoja huo Nkoszana Dlamini alipongeza uzinduzi wake kama wakati ambapo Afrika imejipatia utambulisho wake wa kidijitali.

AU inasema kuwa anwani ya .africa utalileta pamoja bara la Afrika kama jamii ya mtandao.

Anwani hiyo sasa itaonyesha maslahi ya makampuni barani Afrika.

Satelaiti ya kufikisha mtandao kasi Afrika yaharibiwaMtandao wa tume ya uchaguzi Ghana wadukuliwaProgramu mpya ya Facebook kuzinduliwa KenyaSheria tata za mtindo wa nywele shuleni A.Kusini zasitishwaNana Akufo-Addo ndiye rais mpya Ghana

Kwa mfano kampuni ya simu inaweza kuanzisha anwani yake ya mobile.africa ili kuonyesha uwepo wake barani Afrika.

Icann, kampuni inayotengeza anwani hizo iliiidhinisha hatua hiyo baada ya AU kuwasilisha ombi.

Kampuni hiyo iliongozwa na kampuni ya Afrika Kusini ZA Central Registry ambayo itahusika na usajili wa majina ya .africa.

Mshirikishe mwenzako 

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...