» » UZINDUZI WA USHINDI HATIMAE ULIKUWA HIVI

kwanza natumia frusa hii kuwaelekeza wale waiojuwa kanisa la mabatini Mwanza liko sehemu gani
maana jana watu kama sita wamehangaika kulipata baada ya kushukia standi ya daradara mabatini

kwa watu wanaotokea sehem za airport panda gari za igoma kishili shukia mlongo mmoja sio mabatini ukishuka vuka barabara mbele yako utaona ngome ya makaburi ya waislam mwisho wa ngome kushoto ndio mwanzo wangome ya kanisa letu 
kwa watu wanao tokea Buhongwa nyegezi stand panda gari za igoma kishili shukia mlango mmoja
kwa wanaotokea barabara ya Msoma buzuruga igoma kisesa nk pia na wanapanda gari za kuja mjini gari yoyote utashukia mlango mmjo na hapo utakuwa umefika mabatini

Hivi ndivyo muonekano wa bango kubwa inje ya kanisa 


hii niheshima ya kuwapokea nakuwakaribisha wageni wetu iliyo letwa na vijana wa PFC Mabatini Mwanza

 wakati wa ukaguzi wa gwaride la vijana hawa wadogo ila wakaka mavu kweli kweli
 heshima kwa mgeni lasimi


vijana wa Kirumba s.d.a mwanza  nakuasa na kuku kumbusha usikose kutazama morning star Tv au star Tv na Barmedas Tv mda ni saa 12:30 jion hadi saa 2:00 usiku wote mnakaribishwa
pia morning star fm


Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...