» » MUONEKANO NA PICHA ZA MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE YALIYOANZA JANA, HII NI SEHEMU YA MAHUBIRI HAYO

Kwaya ya Buswelu sda katika ufunguzi wa mkutano huu hapo jana walitubariki na nyimbo zao za kutumia gita/ mpingo.
Mchungaji Semba mmoja wa wanenaji  katika ufunguzi wa mkutano huu hapo jana akihudum kwenye masomo ya kaya na familia ndoa na mahusiano, kipindi chake ni cha kwanza kabisa usikose kipindi chake kinaanza saa 12:30 usikose kabisa.
picha ya Rock City Mwanza 
Katibu mkuu wa NTUC Mchungaji Makoye aliposimama na kusema jambo  katika ufunguzi wa mkutano huu hapo jana.

Mchungaji Mmbaga mmoja wa wanenaji katika mahubiri ya USHINDI HATIMAYE katika ufunguzi wa mkutano huu hapo jana alikuwa na somo zuri sana lililo tuonyesha jinsi ambavyo Daudi alimshinda Goliati akiwa nikijana mdogo .
Timu ya wachungaji k na maafisa wa kanisa la waadventista wa Sabato katika picha ya pamoja katika ufunguzi wa mkutano huu hapo jana.


Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...