» » TANZIA: Anna Senkoro, mwanamke wa kwanza kugombea Urais nchini Tanzania(2005), afariki dunia

Aliyekuwa mgombea urais wa kike wa kwanza Tanzania (Uchaguzi 2005) kupitia chama cha APPT-Maendeleo, Dr. Anna Claudia Senkoro ameaga dunia.

Inadaiwa aliugua ghafla usiku wa kuamkia leo na amefariki baada ya kukimbizwa hospitali asubuhi ya leo.

Msiba upo nyumbani kwake, Tabata Segerea jijini Dar.

Taarifa zaidi zitafuatia...

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles