» » Serena Williams amshinda Venus na kushinda taji la Grand Slam

Serena Williams amshinda Venus na kushinda taji la Grand Slam

Serena Williams amemshinda dadaake mkubwa Venus Williams ili kushinda taji lake la saba la Australia OpenHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionSerena Williams amemshinda dadaake mkubwa Venus Williams ili kushinda taji lake la saba la Australia Open
Serena Williams amemshinda dadaake mkubwa Venus Williams ili kushinda taji lake la saba la Australia Open na kuweka rekodi ya Opera kwa kushinda mataji 23 ya Grand Slam.
Serena mwenye umri wa miaka 35 alishinda katika seti za 6-4, 6-4 ili kumpiku Steffi Graf katika orodha ya washindi wakuu tangu Grand Slam kuwakubali wachezaji wa kulipwa 1968.
Serena Williams baada ya kumshinda dadake mkubwa Venus WilliamsHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionSerena Williams baada ya kumshinda dadake mkubwa Venus Williams
Raia huyo wa Marekani sasa ataorodheshwa wa kwanza duniani kwa kumpiku aliekuwa mchezaji nambari moja upande wa wanawake Angelique Kebber kutoka Ujerumani.
Raia wa Australia Margeret Court ndiye mchezaji wa pekee ambaye yuko mbele ya Serena baada ya kushinda mataji 24 ya Grand Slam .
Asante kwa kutembelea Blog yetu washirikishe na wenzako, Pia tunaomba maoni yako hapa WHATSAP (+255) 0769436440 Karibu Sana Read More

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles