» » HAYA YAMESAHAULIKA MWAKANI YASITOKEE TENA KWA WAPENZI

Wanaume na wanawake walio wengi pindi wanapomaliza kufanya mambo yao na wapenzi wao chumbani hujikuta wakikaa pembeni bila kuzingatia vitu muhimu vinavyotakiwa kufanywa pindi wanapomaliza kusex.

VIFUATAVYO NI VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA PINDI UNAPOMALIZA TENDO NA MPENZI WAKO CHUMBANIblack-couple-in-bed-2-11. MFUTE FUTE MPENZI WAKO
Mpenzi msomaji fahamu kuwa unapokwenda kufanya mapenzi na mpenzi wako hakikisha unakwenda ukiwa na kitambaa kisafi (LESO) hiki kitambaa unakuwa nacho maalum kwa ajili ya kumfuta mpenzi wako pindi mnapomaliza kufanya mapenzi. Hakikisha unapomaliza kusex na mpenzi wako unamfuta jasho mwilini na pitisha kitambaa chako katika sehemu zake za siri mfute fute taratibu mpenzi wako usikubali mpenzi wako ajifute yeye mwenyewe na usisubiri akuambie umfute. 2. MUULIZE MPENZI WAKO KAMA KARIDHIKA AU BADO ANAHITAJI KUENDELEA
Wapenzi waliowengi wanapomaliza kufanya mapenzi huwa hawaulizani swali kama hili wengi hujistukia na kuamua kuvaa nguo zao na kuondoka hili ni kosa kubwa, siku zote katika mapenzi mwanaume huwahi kufika kileleni kuliko mwanamke hivyo mwanaume hujikuta ameisharidhika ikiwa mwanamke hajaridhika hivyo nivizuri pindi unapojiona umeridhika muulize na mpenzi wako kama nae karidhika akikuambia tayari basi mnaweza kuishia hapo au akikwambia bado ni wajibu wako wewe kuendelea tena kufanya mapenzi mpaka nayeye aridhike.black-couple-sleeping

Lakini kunatatizo moja hujitokeza sana kwa upande wa wanawake wanawake walio wengi wanapoulizwa na wapenzi wao kama wameridhika huwajibu wapenzi wao “Ndio nimeridhika” lakini kumbe bado hawajaridhika. Napenda niwaambie wanawake wote wenye mtindo huu kuwa si mzuri kuweni wakweli pindi unapoona hujaridhika usimfiche mpenzi wako mwambie ukweli kwani ni haki yako kuridhishwa.

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...