» »Unlabelled » Mahama: Nitaheshimu matokeo ya uchaguzi Ghana

Mahama: Nitaheshimu matokeo ya uchaguzi Ghana


Mahama na Akufo-Addo: Nani mshindi wa urais Ghana?
Rais wa Ghana John Mahama amesema kuwa ataheshimu matokeo ya uchaguzi wa urais kwenye kinyang'nyiro kikali.
Pia kupitia kwa akaunti yake ya Twitter Mahama alisema kuwa tume ya uchaguzi ni lazima ipewe muda wa kutekeleza wajibu wake.
Vyombo vya habari nchini Ghaba vinasema kuwa mgombea wa upinzani Nana Addo Dankwa Akufo-Addo, mwenye umri wa miaka 72 anongoza.
Matokeo ya mwisho yanatarajiwa kabla ya Jumamosi.
John Mahama (kushoto) na Akufo-Addo (kulia)Image copyrightAFP/GETTY
Image captionJohn Mahama (kushoto) na Akufo-Addo (kulia)
Tume ya uchaguzi ilitangaza Alhamisi kuwa ilikuwa ikikagua kura hizo kwa njia ya kawaida kwa sababu mfumo wake wa kielektroniki ulikuwa umevurugwa na wadukuzi wa mitandao.
Duru ya pili ya uchaguzi itafanyika baadaye mwezi huu ikiwa hakuna mgombea kati ya wagombea wakuu hatapata zaidi ya asilimia 50 ya kura.
Kameni ya uchaguzi ilitawaliwa na uchumi unaporomoka.
Wakati wa uchaguzi wa mwaka 2012, bwana Mahama alishindwa na bwana Akufo-Addo na chini ya kura 300,000.

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles