Zaidi ya watu 100 wafariki kwenye ajali ya treni India
Waokoaji wanakata mabaki kuwafikia watu waliokwama ndaniIdadi ya watu waliyofariki kutokana na ajali ya treni
iliyotokea mapema leo kaskazini mwa India, imeongezeka na kupita watu
100 na kuwajeruhi mamia ya wengine.
Treni hiyo ilikuwa ikitoka
Indore kuelekea Patna kabla ya kupoteza muelekeo na kutoka katika
barabara ya reli na kuanguka ilipokaribia mji wa Mashariki wa Kanpur
katika jimbo la Utter Pradesh.
Image copyrightAFPImage caption
Wengi wa waliokufa walikuwa kwenye mabehewa yaliyokuwa karibu na injini
Maafisa wa kutoa huduma za dharura wanajaribu kuwaokoa manusura waliokwama katika mabehewa yaliyoanguka.
Waziri wa uchukuzi wa India ameamuru kufanywa kwa uchunguzi kubaini kilichosababisha ajali hiyo.
Treni hiyo ilikuwa ikitoka Indore kuelekea Patna kabla ya kupoteza
muelekeo na kutoka katika barabara ya reli na kuanguka ilipokaribia mji
wa Mashariki wa Kanpur katika jimbo la Utter Pradesh.
Mshirikishe mwenzako
Asante kwa kutembelea Blog yetu washirikishe na wenzako,
Pia tunaomba maoni yako hapa au tupigie kwa (+255) 0769436440 Karibu Tena
Pakua App Yetu-Bofya Hapa
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share !
Topics:
About 4sn News
Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
No comments:
Post a Comment