waimbaji wakifanya yao kiujumla mambo yalikuwa mazuri huwezi amini kinacho andaliwa nikikubwa sana hivyo natumia frusa hii kukusihi uwepo katika mahubiri hayo
kwaya ya Butimba kutoka Butimba Mwanza
uzinduzi ulianza moja kwa moja ukihusisha uwashaji wa mishumaa mizuri iliyo leta kitu cha tofauti kabisa
Mr Ezira Lameck Masensera Mwalimu wa kwaya ya Ilemela Mwanza mtaa wa pasiansi
kwenye mitambo ya kurushia matangazo ya picha za kuonekana
Maofisa wa kanisa walio hudhulia na kuleta michango yao ili kufanikisha michango ya uwezeshaji wa shuguli hii kubwa
hapa ni ndani ya kanisa la wasabato ( Adventist church) Mabatini
wote mnakaribishwa sana
Asante kwa kutembelea Blog yetu washirikishe na wenzako, Pia tunaomba maoni yako hapa au tupigie kwa (+255) 0769436440 Karibu Tena
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI



















No comments:
Post a Comment