» »Unlabelled » HEBU TUPITIE KIDOGO BAADHI YA HEKIMA ZA KI BIBLIA

HEBU TUPITIE KIDOGO BAADHI YA HEKIMA ZA KI BIBLIA

~~MITHALI 22:6
Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.

~~WAEFESO 6:4
Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jambo hili lapendeza katika Bwana

~~MITHALI 22:15
Ujinga umefungwa ndani ya moyo wa mtoto; Lakini fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali.

~~MITHALI 13:24
Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; Bali yeye ampendaye humrudi mapema.

~~MITHALI 19:18
Mrudi mwanao, kwa maana liko tumaini; Wala usiikaze nafsi yako kwa kuangamia kwake.

~~MITHALI 23:13
Usimnyime mtoto mapigo; kwa maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa.

Chapeni watoto walimu,,,Mungu anawaona,atawatetea.

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles