» »Unlabelled » Mfalme wa mwisho wa Rwanda, Kigeli V, afariki dunia

Mfalme wa mwisho wa Rwanda, Kigeli V, afariki dunia

  • Saa moja iliyopita
Mfalme wa zamani wa Rwanda Kigeli wa tano Ndahindurwa amefariki dunia akiwa uhamishoni nchini Marekani.
Mfalme huyo alitawala Rwanda kwa miaka miwili tu kwanzia mwaka 1959 hadi 1961 wakati utawala wa kifalme ulipong'olewa kupitia kura ya maamuzi na kumlazimisha kwenda uhamishoni.
Hata hivyo hakuweza kurejea nchini mwake kwa kutofautiana na utawala uliopo sasa nchini Rwanda.
Kutoka Kigali mwandishi wa BBC Yves Bucyana
Asante kwa kutembelea Blog yetu washirikishe na wenzako, Pia tunaomba maoni yako hapa au tupigie kwa (+255) 0769436440 Karibu Tena

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles