Waziri KAIRUKI asema nikosa la jinai kwa mtumishi wa umma kuwa na nyaraka za siri
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ANGELLA KAIRUKI amesema kuwa ni kosa la jinai kwa mfanyakazi yeyote
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ANGELLA KAIRUKI amesema kuwa ni kosa la jinai kwa mfanyakazi yeyote wa utumishi wa umma kuwa na nyaraka za siri za serikali.
Waziri KAIRUKI ameyasema hayo Jijini DSM wakati wa uzinduzi wa baraza la wafanyakazi la Tume ya Utumishi wa Umma na kuongeza kuwa ni aibu kwa serikali na Wafanyakazi wa utumishi wa umma kutotunza siri na kuacha siri za serikali zikizagaa.
September 3, 2016
ELIAH GUMBO
CHANZO TBC TAIFA

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:
Post a Comment