» »Unlabelled »

UONGOZI WA JUU WA KANISA SNC UTAKUWA UMETEMBELEWA NA UGENI MKUUBWA KUTOKA SOUTH AFRIKA UKIONGOZWA NA MJASILIAMALI MFANYABIASHARA MAARUFU ALIYEJALIWA MAFUNUO NDUGU ZUKU.

NDUGU ZUKU AMEOMBA KUHITIMISHA UGENI WAKE KUKUTANA NA WAFANYABIASHARA, WAFANYAKAZI NA WAJASILIAMALI WANA ATAPE WOTE WA TANZANIA TAREHE 04/09/2016 SAA TATU ASUBUHI KTK VIWANJA VYA KANISA VYA PANSIANSI KUWAPATIA CHANGAMOTO YA KUYAISHI MAISHA  YA UPANUZI WA SHUGHULI NA KAZI ZETU TUKIWA NA BWANA.

 KWA KUWA SIO RAHISI KWA WOTE KUWEPO HAPA MWANZA KWA SIKU HIYO KIPAU MBELE KINATOLEWA KWA WOTE WATAKAO KUWEPO SNC KWA SIKU HIYO HATA CONFERENSI ZA JIRANI ZINAALIKWA.

INASHAURIWA WATU WALIOKO MBALI WAFANYE MPANGO WA KUABUDU MWANZA KWA TAREHE 03/09/2016 KWANI HAWATAJUTA KUHUDHURIA MKUTANO MKUBWA KWENYE VIWANJA VYA FURAHISHA UKIONGOZWA NA UONGOZI WA DIVISION YETU.

TAFADHARI TUSIKOSE NAFASI HII MUHIMU.ALIKA NA MWENZIO UBINAFSI HAUNA NAFASI

KARIBUNI NYOTE

KATIBU ATAPE SNC.

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...