Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Wanajeshi wa JWTZ Kikosi cha Anga Ukonga jijini Dar es salaam alikotembelea kuwapongeza kwa kusherehekea miaka 52 ya Jeshi la Wananchi Septemba 1, 2016
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment