» »Unlabelled » Rais Mugabe awaonya mahakimu Zimbabwe

Rais Mugabe awaonya mahakimu Zimbabwe

Mshirikishe mwenzako

Maandamano ya kupinga uongozi warais Mugabe Zimbabwe
Image captionMaandamano ya kupinga uongozi w arais Mugabe Zimbabwe

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, amewalaumu mahakimu wanaoruhusu maandamano dhidi ya serikali, ambayo baadae huwa na fujo.
Alisema mahakimu wanadharau amani, na akawaonya kutothubutu kuonesha dharau wanapofikia uamuzi.
Hapo kesho wafuasi wa upinzani watakwenda mahakamani, kupinga amri iliyopiga marufuku maandamano kwa majuma mawili.
Kiongozi mmoja wa upinzani, Tendai Biti, amemshutumu Rais Mugabe, kwamba anajaribu kuwatisha majaji.
Maandamano kadha ya fujo yamefanywa nchini Zimbabwe katika majuma ya karibuni, huku msukosuko wa kiuchumi ukizidi.

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles