» »Unlabelled » Merkel atikiswa uchaguzi mdogo Ujerumani Mshirikishe mwenzako

Merkel atikiswa uchaguzi mdogo Ujerumani

Mshirikishe mwenzako
Umaarufu wa Bi. Merkel umekuwa wa hati hati tangu aliporuhusu zaidi ya wakimbizi milioni moja kuingia Ujerumani
Image captionUmaarufu wa Bi. Merkel umekuwa wa hati hati tangu aliporuhusu zaidi ya wakimbizi milioni moja kuingia Ujerumani
Kansela wa Ujerumani,Angela Merkel ameonekana kutikiswa kisiasa huko kaskazini mashariki mwa jimbo la Mecklenburg-Pomerania.
Kura zilizopigwa katika maeneo ya uchaguzi zinaonesha kuwa watu wanapinga wahamiaji, chama cha AfD kimepingana na chama cha Christian Democratic Union cha Bi. Merkel kwa upande mwingine.
Chama cha mrengo wa kushoto kinaonekana kuweka juu kiuchaguzi.
Umaarufu wa Bi. Merkel umekuwa wa hati hati tangu aliporuhusu zaidi ya wakimbizi milioni moja kuingia Ujerumani kwa mwaka uliopita jambo ambalo chama cha AfD linakibagua.
Kura za leo ni kipimo tosha kwake ikiwa ataendelea kusalia madarakani mara baada ya uchaguzi mkuu wa hapo mwakani.

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles