» »Unlabelled » Kinywaji cha ''kupoteza ubikira'' chazua mjadala China

Kinywaji cha ''kupoteza ubikira'' chazua mjadala China


Mshirikishe mwenzako
Kinywaji cha Four Loco chazua mjadala mkali nchini ChinaImage copyrightBBC SPORT
Image captionKinywaji cha Four Loco chazua mjadala mkali nchini China
Kinywaji maarufu kwa jina ''blackout in a can' nchini Marekani kimeingia nchini China.
Four Loko ,kinywaji kilicho na ladha ya matunda na asilimia 12 ya pombe kilitumika sana katika sherehe nchini Marekani kabla ya kuondolewa madukani katika majimbo kadhaa hadi pale viungo vyake viliporekebishwa.
Na sasa kimepata umaarufu mkubwa nchini China ,huku raia wakikiita ''Lose Virginity'' {poteza ubikira}kwa kuwa wanahisi kinywaji hicho kina nguvu zaidi.
Raia wengi wamekuwa wakijipiga picha wakinywa kinywaji hicho
Image captionRaia wengi wamekuwa wakijipiga picha wakinywa kinywaji hicho
Wanavlogu kadhaa wamepakia kanda za video wakinywa kinywaji hicho cha mililita 695.
Kinywaji hicho kiligonga vichwa vya habari hivi majuzi baada ya wanawake watatu walio katika umri wa miaka 20 kuficha na kuingiza kinywaji hicho katika baa moja ya karaoke,kupoteza fahamu baada ya kunywa na kupoteza vitu vyao vyote kwa wezi..
  • Je, Four Loko ni nini haswa ,na watu wanasema nini kuhusu kinywaji hiki?
Four Loko kimeelezewa katika mitandao ya kijamii nchini China kuwa kinywaji kilicho na pombe pamoja na kafeini.
Kinywaji cha Four Loco
Image captionKinywaji cha Four Loco
Baadhi ya watu wanadai kwamba mchanganyiko huo unakifanya kinywaji hicho kuwa na nguvu na kina uwezo wa kumfanya mtu kupoteza fahamu baada ya kunywa chupa moja tu
ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU WATARIFU NA WENZAKO KARIBU TENA

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles