» »Unlabelled » Hillary Clinton arejea kwenye mbio za kampeni baada ya kuugua

Hillary Clinton arejea kwenye mbio za kampeni baada ya kuugua


Mshirikishe mwenzako
Clinton aliishiwa nguvu wakati wa kumbukumbu ya wahanga wa shambulizi la Septemba 11
Image captionClinton aliishiwa nguvu wakati wa kumbukumbu ya wahanga wa shambulizi la Septemba 11
Mgombea Urais kupitia Chama cha Democratic nchini Marekani Bi Hillary Clinton amerejea kwenye mbio za kampeni baada ya kuugua homa ya mapafu.
Akiongea na mwandishi wa habari akiwa kwenye ndege kuelekea Greensboro North Carolina, Bi Clinton alisema anajiskia vizuri baada ya mapumziko ya siku tatu.
Mpinzani wake wa Chama cha Republican, Donald Trump ametoa barua kutoka kwa daktari wake ikionesha kuwa ana afya njema.
Barua hiyo inaonesha kuwa anatumia dawa ili kupunguza unene na kiwango kilichopitiliza cha uzito, lakini hatumii kilevi wala kuvuta sigara.
Trump aliwahi kuwa mchekeshaji wa vipindi vya runinga
Image captionTrump aliwahi kuwa mchekeshaji wa vipindi vya runinga
Uchaguzi wa Marekani utafanyika mwezi Novemba ambapo kampeni zake zimekuwa na vuta ni kuvute kutoka vyama vikubwa viwili vya Democratic na Republican.
ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU WATARIFU NA WENZAKO KARIBU TENA

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles